爆料公社

Tunahitaji juhudi nyingi na malengo makubwa ya urejesho wa ardhi barani Afrika

Get monthly
e-newsletter

Tunahitaji juhudi nyingi na malengo makubwa ya urejesho wa ardhi barani Afrika

Uharibifu wa ardhi ya kilimo kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa yanatishia mamilioni ya njia za kutafuta riziki
Afrika Upya: 
12 Novemba 2021
Nature and Biodiversity Conservation Union nchini Ethiopia
NABU
Nature and Biodiversity Conservation Union nchini Ethiopia

Miaka sita iliyopita, viongozi wa Afrika walitambua kwamba uharibifu wa ya ardhi ya kilimo ya Afrika unatishia uharibifu wa kiuchumi na kimazingira kwa mamilioni ya wakulima.

Walitambua hili huku athari za mabadiliko ya hali ya hewa - mazao duni, mvua kukosa kunyesha vizuri, ukame wa muda mrefu - zinapofanya maisha kuwa magumu kwa mamilioni ya jamii za wakulima, wafugaji na wakazi wa mijini.

Mkakati wa??ulianzishwa ili kubadilisha mwelekeo huu wa uharibifu. Mpango huu unaongozwa na wenyeji, unalenga kuanza kurejesha ekari milioni 100 za ardhi kufikia 2030 kwa inayosaidia maisha bora ya jami vijijini na mfumo unaonawiri wa mazingira.

Viongozi wa Afrika walikuwa na ithibati za kuunga mkono lengo hili. Kila $1 iliyowekezwa katika urejeshaji wa ardhi inaweza kuleta kati ya ?kwa faida ya kiuchumi, na kurejesha kamili hali asilia inayoweza kuleta hadi??ya njia zenye gharama za chini za kukabiliana na hali ya hewa unazohitajika ili kudumisha ongezeko la joto duniani chini ya nyuzi 2 C. Mandhari yaliyorejeshwa??huku yakizifanya jamii?kuwa na zaidi?kukabiliana na jangwa, ukame na mafuriko.

Walijua pia kuwa inaweza kutekelezwa. Wakulima mabingwa kama Yacouba Sawadogo walihamasisha jamii kupata miji kwenye ?katika eneo la Sahel. Kupitia vuguvu la?, mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel Wangari Maathai aliwezesha zaidi ya vikundi 4,000 vya wanawake kulinda na kurejesha mashamba yao na misitu ya Kenya katika hali ifaayo, huku akitishiwa maisha.

Urithi wake unaendelea kutia watu moyo: Jamii nchini Senegali zimepanda zaidi ya miolioni ?katika maeneo ya maji ya nchi hiyo chini ya uongozi wa waziri wa zamani Haidar el Ali.

Historia hiyo ya mafanikio ya mashinani imezitia msukumo serikali 32 za Afrika kujiunga na vuguvugu la AFR100. Nchi zimeunda programu za urejesho za kitaifa zinazounda nafasi za kazi kwa vijana, na maelfu ya wafanyabiashara wa ndani, mashirika yasiyo ya faida na vyama vya ushirika vimehamasisha jamii kulinda na kuzalisha upya mifumo mazingira.

Lakini tunajua kwamba Afrika iko mbali sana katika kufikia lengo hili kuu. Ingawa wafadhili wametoa zaidi ya? kwa AFR100 na?, kiasi kidogo tu cha fedha hizo zimefikia jamii zilizo kwenye mstari wa mbele. Ukataji miti na uharibifu wa mfumo mazingira unaendelea kwa kasi sana.

Mnamo mwaka wa 2020 pekee, Afrika ilipoteza ekari milioni 4 za miti kwa mujibu wa?. Kukosekana kwa utulivu wa kisiasa na mizozo kunatishia ushindi huu ambao bado ni dhaifu. Na miradi michache ya upandaji miti iliyopangwa vibaya imedhuru mifumo mazingira na jamii kwa??na kuharibu nyasi za asili.

Lakini kiini cha tatizo hili ni kwamba bara la Afrika, japo , ndilo litakalokabiliwa na athari kali zaidi za mabadiliko hayo. Serikali za nchi zilizostawi, makampuni ya kibinafsi, na matajiri na wenye uwezo mkubwa –yaani ?cha?uchafuzi mkubwa wa kaboni??– ?zina deni kubwa kwa wabunifu wa kusafisha hewa barani Afrika.

Uongozi wa kijamii ni muhimu kwa sababu jamii husimamia karibu?, na zinajua jinsi ya kufanya ili maelfu ya miradi ya mifumo ya mazingira iwe na?ifanikiwe. Hakuna njia nzuri ya kukomesha uzalishaji wa kaboni kufikia mwaka 2050 ambayo haiwekezi kwa wajasiriamali na viongozi wa jamii ili kurejesha ardhi.

Tunahitaji juhudi nyingi na malengo makubwa katika vuguvugu la urejesho wa ardhi barani Afrika, na zinafaa kuanzia leo. Wakuu wa nchi za Afrika katika COP26 huko Glasgow walitoa wito wa kuchukua hatua kwa wafadhili wa kibinafsi na wafadhili wa serikali: Kuchangisha dola bilioni 2 kwa ajili ya programu zinazoongozwa na wenyeji za urejesho barani Afrika ifikapo mwisho wa 2022.

?

ECOTRUST nchini Uganda.
Photo: ECOTRUST

Kwa rasilimali hizo, tunaweza kuwekeza kwa mamia ya mabingwa wa kijamii na kuwapa usaidizi wa kiufundi wanaohitaji ili kufanikiwa. Hilo linaweza kuchochea ufadhili zaidi ili kuanza kufufua ekari milioni 20 inayokadiriwa ifikapo 2026 na kuleta?faida ya wastani ya dola bilioni 135 kwa watu milioni 40. Ukiongeza mfumo wenye uwazi?, ekari milioni 100 litakuwa lengo linalowezekana.

Ili kuanza awamu hii mpya ya AFR100,??,??na Facebook zilitangaza dola milioni 20 za awali, kwa lengo la kuchochea uwekezaji mkubwa zaidi mwaka wa 2022. Ufadhili kwa?utawezesha muungano huu wa vyama vya ushirika vinavyoongozwa na wanawake kukuza mamia ya maelfu ya miti kwenye mashamba ya wakulima wadogo.

Nchini Afrika Kusini, mkopo utamwezesha mjasiriamali Siyabulela Sokomani kupanua??na kupanda aina nyingi za miti asili katika viunga vya mijini na maeneo ya mashambani yaliyotengwa. Ufadhili kwa mashirika ya kijamii ya Freetown, Sierra Leone, nao utaongeza miti, kupunguza joto la barabarani na kumsaidia Meya Yvonne Aki Sawyerr kubadilisha jiji lake kuwa “?kama alivyotazamia."

Kama wawakilishi wa Umoja wa Afrika na shirika la kimataifa la utafiti, tunatoa wito kwa wafadhili, wataalamu wa kiufundi, na serikali za Afrika kuunda suluhu maalum kwa ajili ya watu wanaorejesha ardhi.

Tunahitaji kutoa??kupatikana kwa urahisi zaidi, kuunda nyenzo ukaguzi za ufuatiliaji wa?, na kutayarisha??zinazowasaidia wakulima kurejesha ardhi.

Muhimu zaidi, tunatoa wito kwa wafadhili wa umma na wafadhili wa kibinafsi kuongeza uwekezaji wao katika mashirika ya jamii na wajasiriamali kupitia AFR100. Hii ni hatua ambayo lazima wachukue ikiwa imani yao katika mustakabali wa Afrika sio maneno matupu tu.

Mnamo 2030, tunataka kutazama nyuma kwa fahari kuhusu hatua zetu za kurejesha matumaini na ustawi katika mandhari ya vijijini na mijini ya Afrika. Hatutakubali kushindwa.

Dkt. Mayaki ni Mkurugenzi Mtendaji wa AUDA-NEPAD, huku Bi. Mathai akiwa Makamu wa Rais na Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika katika taasisi ya World Resources Institute.

More from this author