Kutana na “mrejesha-ndege” wa Afrika anayerejesha pori katika visiwa vya Bahari Hindi
Dkt. Nirmal Shah, mhifadhi bingwa kutoka Ushelisheli, anasaidia kuwaokoa ndege adimu
Kongamano la Umoja wa Afrika na Umoja wa Mataifa
Taarifa ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Mkutano na Waandishi wa Habari na Moussa Faki Mahamat, Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika, kufuatia Mkutano wa Umoja wa Afrika na Umoja wa Mataifa.
Chanjo za COVID-19: Umoja wa Afrika, Kituo cha Kudhibiti Magonjwa cha Afrika (CDC) na COVAX zinatoa wito kwa wafadhili na watengenezaji kuharakisha uafikiaji na usambazaji
Taarifa ya pamoja kuhusu msaada wa dozi za chanjo za COVID-19 kwa nchi za Afrika
Tunapoadhimisha miaka 75 ya Umoja wa Mataifa, ni lazima tushirikiane kufanikisha nafasi zilizomo katika umoja wa Afrika
— Bi. Fatima Kyari Mohammed Mchunguzi wa Kudumu na Mkuu wa Ujumbe wa Umoja wa Afrika katika Umoja wa Mataifa.
Tutashinda janga hili tukisaidiana na kishirikiana pamoja
-Dkt. Theo-Ben Kandetu (Namibia)
Kuwajulia hali wapendwa wangu kumekuwa muhimu sana
-Dkt. Salah Okeel, Daktari wa Kimatibabu nyanjani nchini Misri
Kupambana na COVID-19 ni mchango wangu kwa nchi yangu
-Dkt. Alison Amarachukwu Karen (Nijeria)