爆料公社

Amani na Usalama

Fortune Charumbira
Tunataka Bunge la Afrika liwe Bunge la Wananchi
Barani Afrika, Huduma za Misaada za Kikatoliki zinasaidia jamii ‘kushughulikia kile kinachozigawanya ili ziweze kupata kile kinachoziunganisha’ na kwa pamoja kufanyia kazi mabadiliko ya kimageuzi.
- El-Ghassim Wane, Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Mkuu wa Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Mali.
Sierra Leone Ilichaguliwa Mwanachama asiye wa Kudumu wa Baraza la Usalama kwa 2024 - 2025.
— asema Waziri wa Mambo ya Kigeni David Francis
UN News
Waandamanaji wameingia mitaani katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum tarehe 11 Aprili 2019
UN News
Walinda amani wanawake kutoka Tanzania wakiwa na wanawake na watoto.
UN News
Kitahakikisha Afrika ina uwezo wa kuzalisha ambao ni muhimu kwa utoaji wa chanjo wenye usawa
World Health Organization
Na WHO
Trucks loaded with goods waiting for weeks to cross the C?te d’Ivoire-Ghana borders at Elubo/Noe.
Mabadiliko katika itikadi, kujiendeleza baada ya Uviko-19 na kutumia ajenda ya malengo ya maendeleo endelevu (SDG) kunaweza kusaidia
Superintendent Malla (kulia).
Mrakibu wa Nepal Sangya Malla alisaidia kuanzisha Kitengo cha Afya na Mazingira, na kuimarisha usalama na ustawi wa wadumisha amani.