Ϲ

Napenda kazi yangu kama mwanajeshi wa kikosi cha anga’ Phelisa Frida Miya, kutoka Afrika Kusini'

Get monthly
e-newsletter

Napenda kazi yangu kama mwanajeshi wa kikosi cha anga’ Phelisa Frida Miya, kutoka Afrika Kusini'

Phelisa Frida Miya nwenye umri wa miaka 28, ni mwanajeshi wa kikosi cha anga/mwanamke wa kufyatua bunduki kutoka Afrika Kusini anayehudumu katika Ujumbe wa Kulinda Amani wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (MONUSCO).
Franck Kuwonu
Afrika Upya: 
27 May 2021
Phelisa Frida Miya, 28, a paratrooper/riflewoman from South Africa serving in the UN Peacekeeping Mission in the Democratic Republic of the Congo (MONUSCO)
Mwanajeshi wa kikosi cha anga/mwanamke wa kufyatua bunduki kutoka Afrika Kusini, Phelisa Frida Miya

Phelisa Frida Miya nwenye umri wa miaka 28, ni mwanajeshi wa kikosi cha anga/mwanamke wa kufyatua bunduki kutoka Afrika Kusini anayehudumu katika Ujumbe wa Kulinda Amani wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (MONUSCO). Mmoja wa wanajeshi wachache wa kike katika taaluma inayotawaliwa na wanaume, anaamini kuwa nafasi yake ya kipekee inaweza kuhamasisha wengine:

Je, inahisije kuwa mwanajeshi wa kikosi cha anga wa kike katika ujumbe wa kulinda amani katika Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo?

Naweza kusema kuwa wakati mwingine ni rahisi. Hata hivyo, wakati mwingine haiwi rahisi. Wenzangu wa kiume hujaribu kuifanya iwe rahisi kufanya kazi nao, lakini sehemu ngumu ni kwamba, katika taaluma inayojulikana kutawaliwa na wanaume, kila wakati na katika kila kazi, lazima nitie bidii zaidi kuliko kila mtu nikiandamana na mwanajeshi mwingine wa kike. Kwa hivyo, katika kila shughuli tunayoshiriki, ama katika doria za usiku, doria za mchana au kushirikiana na jamii ya wenyeji, lazima nijitolee kabisa, haswa nikishughulikia wanawake na wasichana wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, na ili tu kuwatia moyo na kuwaonyesha kuwa wanawake wanaweza pia kufaulu katika taaaluma inayotawaliwa na wanaume.

Unapokutana na wenyeji, wanakuonaje baada ya kutambua kuwa wewe ni mwanajeshi wa kikosi cha anga wa kike?

Imekuwa ikifurahisha sana kwa sababu wananikaribisha na wanajisikia salama wanapomwona mwanamke aliye na sare kwa sababu, kama wanawake, tuna namna zetu za kuwasiliana na jamii za wenyeji na kuwavutia. Inakuwa rahisi kwetu kushirikiana nao. Pia ni rahisi kwangu kukusanya habari kutoka kwa wenyeji kwa sababu wengi wao huja kwangu.

Je, unahisije wewe mwenyewe unaposikia kuhusu jinsi jamii ya wenyeji wanavyokuchukulia?

Ni jambo zuri sana kukaribishwa na wenyeji kwa sababu inafanya kazi yangu kuwa rahisi kama mwanamke. Na kwa kuwa, inafanya iwe rahisi kwangu kutekeleza jukumu la Umoja wa Mataifa la kulinda raia.

You've been here for only six months. If you were to think about the most proud time of your stay in the Democratic Republic of Congo, what is it?

My proudest moment in the Democratic Republic of Congo is that I have been given the opportunity to work in a profession dominated by male- . In the invasion group , where we have to invade at any time in a very dangerous situation. This encourages me and other women to believe that all is possible. You know, that 's when I 'm most proud of it so far.