爆料公社

AfricaUpya: Juni 2021

Maendeleo ya kiuchumi

Dijiti Dijiti

Kuridhiwa kwa sarafu ya Kidijitali barani Afrika: Changamoto na manufaa

Changamoto ni pamoja na ukosefu wa intaneti ya kuaminika na ukosefu wa maarifa ya kifedha

Malengo ya Maendeleo Endelevu

Divine Ntiokam, Lucy Muchoki Mike na Nkhombo Khunga.

Kutana na Mabingwa wa Chakula Barani Afrika

Kabla ya Mkutano wa Mifumo ya Chakula wa 2021 wa UN mnamo Septemba hii, Mabingwa wa Mifumo ya Chakula wanakusanya jamii za ulimwengu na kukuza mazungumzo kwa suluhisho za ubunifu, vitendo na endelevu.

Bingwa wa Mifumo ya Chakula Divine Ntiokam, Kamerun

Mwasisi na Mkurugenzi Mtendaji, Muungano wa Vijana wa Kilimo Bora kwa Hali ya Hewa (CSAYN), Kamerun
Mike Nkhombo Khunga

Bingwa wa Mifumo ya Chakula Mike Khunga, Malawi

Muungano wa Asasi za Kiraia za Lishe (CSONA), Malawi

Ukulima

Wakulima wanawake

Kulisha Afrika kutoka Afrika: Wakulima wadogo kupigwa jeki na AfCFTA

Athari ya COVID-19 imefichua udhaifu wa mifumo ya sasa ya chakula, lakini pia imefunua fursa kwa Afrika kufanya biashara na Afrika chini ya AfCFTA
Shamba la mahindi katika Namibia.

Wakulima wa Afrika wanaweza Kufaidika kutokana na Sera bora za Kilimo za Umoja wa Ulaya

AfCFTA inaweza kuongeza juhudi za wakulima wa Kiafrika kushindana na EU

Afya

Ukosefu wake walemaza utoaji wa chanjo ya COVID-19 barani Afrika

Ukosefu wake walemaza utoaji wa chanjo ya COVID-19 barani Afrika

Chanjo milioni 38 pekee ndizo zimepokelewa katika bara la watu wapatao bilioni 1.2

Amani na Usalama

Mwanajeshi wa kikosi cha anga/mwanamke wa kufyatua bunduki kutoka Afrika Kusini, Phelisa Frida Miya

Napenda kazi yangu kama mwanajeshi wa kikosi cha anga’ Phelisa Frida Miya, kutoka Afrika Kusini'

Phelisa Frida Miya nwenye umri wa miaka 28, ni mwanajeshi wa kikosi cha anga/mwanamke wa kufyatua bunduki kutoka Afrika Kusini anayehudumu katika Ujumbe wa Kulinda Amani wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (MONUSCO).
Kossi Gavon mwenye umri wa miaka 24, ni Luteni kutoka Togo

'Jumuisha maafisa vijana kwenye jumbe za kulinda usalama'

— Kossi Gavon mwenye umri wa miaka 24, ni Luteni kutoka Togo anayehudumu katika Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa Kulinda Amani nchini Mali. (MINUSMA)
Merveille-Noella Mada-Yayoro, 29, ni mwandishi wa habari na mtayarishaji wa Guira FM

'Napenda kuufahamisha umma’

- Merveille-Noella Mada-Yayoro, 29, mwandishi wa habari na mtayarishaji wa Guira FM huko CAR.