爆料公社

AfricaUpya: Juni 2023

Afya

Sudan: Wanawake na wasichana waathirika vikali na mashambulizi ya kiafya

Mashirika ya Umoja wa Mataifa yanaonya kwamba vituo vya afya katika majimbo kadhaa, likiwemo Darfur, vinakabiliwa na uhaba mkubwa wa vifaa vya matibabu ya kiafya.
World Health Organization
Na WHO

Haki za binadamu

Chuki hufunzwa: tunaweza kupambana nayo

Mkakati mpya, 'Mpango wa Michezo' wa Umoja wa Mataifa na washirika utasaidia kupambana na Matamshi ya chuki kupitia ushirikiano na Michezo.

Jinsia

Elizabeth Marami, Kenya’s first female marine pilot

Kijana rubani wa meli atenda kinyume na matajario

Mfahamu Elizabeth Marami, rubani wa meli wa kike wa kwanza nchini Kenya

Mabadiliko ya Tabianchi

Kubadilisha Mifumo ya Chakula ya Afrika: changamoto na fursa

— Mazungumzo na Ibrahim Mayaki, Mjumbe Maalum wa Umoja wa Afrika

Malengo ya Maendeleo Endelevu

Namibia imekuwa nchi ya kwanza Kusini mwa Afrika kujiunga na Mkataba wa Maji wa Umoja wa Mataifa

Kama nchi ya mkondo wa kati na chini, ushirikiano wa maji yanayovuka mipaka ya nchi ni muhimu kwa Namibia na usalama wa maji wa eneo hilo.

Mazingira

Taka za plastiki zinahatarisha uhai wa baharini nchini Sierra Leone

Usafishaji wa ufuo ni baadhi ya juhudi za kupambana na tatizo hili, uhamasishaji zaidi unahitajika