爆料公社

1
Washiriki wa mbio za Selous wakifurahia maporomoko ya maji ndani ya safu ya milima ya tao la mashari

Mbio za Selous zachagiza uhifadhi wa mazingira na utalii

Nchini Tanzania, Umoja wa Mataifa umesema utaendelea kushirikianana serikali katika kuhifadhi mazingira sambamba na kuhakikisha kuwa uhifadhi huo unachangia katika kuongeza kipato kwa wananchi.
UNDP
Na UNDP